HARMORAPA AICHANGIA ZANZIBAR
Msanii wa Muziki wa Hip Hop Tanzania Anaejulikana kwa jina HARMORAPA Kwa hali ya Matumaini Ameonekana katika kitabu cha Uchangiaji kwa watu wenye mahitaji maalumu Zanzibar... Harmorapa Akitoa Ahadi hiyo ya kuchangia kiasi cha pesa cha Dolla 100 Msanii Harmorapa aneonyesha mchango wake na kuguswa na Kampeni hiyo na kumfanya Asimamishe show na kuongea na wananchi waliohudhuria "Kutokana na matatizo yanayoikumba jamii yetu Mimi Harmorapa kupitia SGS Sabuka Music naahidi kuchangia kiasi cha Dollars 100 kiasi kidogo cha kuwachangia wenye mahitaji." Alisema HARMORAPA Harmorapa akiteta na mwandishi Kampeni hii imezinduliwa na Mheshimiwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania MH SAMIA SULUHU HASANI na kuhudhuriwa pia na viongozi wengi wa Zanzibar Harmorapa ambae alikua ni mmoja kati ya wasanii wachache waliolikwa kutumbuizwa katika Tamasha hilo lililolenga Kuhamasisha uchangiaji wa Mahitaji ya watu wenye uhitaji lililojulika...