JIKE DUME HILI HAPA

GENERAL NEWS

Hekaheka ya ubabe wa mwanamke aliyekosesha amani mtaa mzima Kawe Dar..


Hii ishu ilisikika kwenye Hekaheka siku chache zilizopita, kesi yote ilikuwa suala la mwanamke mmoja maeneo ya Kawe Dar kuwa na tabia ya kupiga watu na wengine kuwajeruhi.

Majirani na watu wa mtaani wameonekana kumchoka sana, wakaifikisha ishu yote kwenye meza ya akina Geah Habib kwa ajili ya kuruka nayo kwenye Hekaheka ya show ya ‘Leo Tena‘.

Kutokana na utata wa mwanamke huyo matukio ya kupiga watu, mara kafunga njia, kesi yake imefika Polisi mpaka Mahakamanina kafungwa kwa siku 14 alafu atarudishwa tena Mahakamani… majirani na watu wa mtaa wake wameonekana kushukuru kitendo cha Polisi kuingilia kati, mtaa umekuwa na amani kwa sasa baada ya mwanamke huyo kukamatwa.

Stori za majirani kwenye Hekaheka mitaa ya Kawe iko hapa mtu wangu kama Hekahekaimesikika mbali na wewe leo.



by

millardAyo


Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA