Posts

Showing posts from January, 2017

B.O.B WATEKA LUNINGA NA PESA KIDOGO

Image
Wasanii wa kizazi kipya (bongo flaver) Kutokea Manispaa ya Moshi Mjini (Mo town).  Mohamedi Jumaa(Mello)  na Swalehe jumaa (Swaz). Wasanii hao wanaounda kundi la B.O.B THE DREAMERS. Hivi karibuni wameitambulisha video ya nyimbo yao ya "pesa kidogo" ilioongozwa na Director Samtimber . B.O.B THE DREAMERS Mello akizungumzia video hiyo ambayo kwa mahesabu ya haraka haraka imewasogeza umbali mrefu katika kuwafikia mashabiki ambao hupenda kazi nzuri hasa zinapokua za video ni kuongeza idadi ya mashabiki... Pesa Kidogo ni moja ya mtiririko wa nyimbo zao nyingi  ambazo zinaonyesha uwezo mkubwa waliokua nao. Mello(kushoto)Swaz(kulia) B.O.B wamewataka mashabiki mkao wa kula kwaajili ya kuzipokea kazi mpya Ambazo zitakua ni zawadi kwa mashabiki pia wamewaomba mashabiki kuendelea kuichagua katika vipindi mbali mbali vya luninga ili watu wapate Ujumbe ipasavyo. Tizama hapa chini  "PESA KIDOGO" https://youtu.be/soxqG0cCkKQ