B.O.B WATEKA LUNINGA NA PESA KIDOGO

Wasanii wa kizazi kipya (bongo flaver)
Kutokea Manispaa ya Moshi Mjini (Mo town). 

Mohamedi Jumaa(Mello)  na Swalehe jumaa (Swaz).
Wasanii hao wanaounda kundi la B.O.B THE DREAMERS.
Hivi karibuni wameitambulisha video ya nyimbo yao ya "pesa kidogo" ilioongozwa na Director Samtimber .


B.O.B THE DREAMERS





Mello akizungumzia video hiyo ambayo kwa mahesabu ya haraka haraka imewasogeza umbali mrefu katika kuwafikia mashabiki ambao hupenda kazi nzuri hasa zinapokua za video ni kuongeza idadi ya mashabiki...

Pesa Kidogo ni moja ya mtiririko wa nyimbo zao nyingi  ambazo zinaonyesha uwezo mkubwa waliokua nao.

Mello(kushoto)Swaz(kulia)

B.O.B wamewataka mashabiki mkao wa kula kwaajili ya kuzipokea kazi mpya
Ambazo zitakua ni zawadi kwa mashabiki pia wamewaomba mashabiki kuendelea kuichagua katika vipindi mbali mbali vya luninga ili watu wapate Ujumbe ipasavyo.

Tizama hapa chini  "PESA KIDOGO"
https://youtu.be/soxqG0cCkKQ

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA