(From instagram)BONAS PART (ZAWADI KWA NISHA) 154
PART 154
""Kila Dakika zilivyojongea BULLA alionyesha matumaini mazuri.. ya kuvuta kumbukukumbu.. alishaanza kuonyesha matumaini mapya hasa nilipo msalimia aliniitikia na kutabasamu muda mwingine alilengwa na machozi... hakika DOKTA alisema hizo ndizo dalili za kuvuta kumbujumbu... wakati mwingine DOKTA alikwenda na BULLA nisipo pajua... alifanya hivi kwa moyo wa kujitolea.. SIKITU alizidi kunilea pale alipo... ..""Nilikua nimekaa nimetulia chumbani kwa SIKITU nikiangalia kalenda iliokua imetundikwa ukutani... nikiona siku zimejongea nikaikumbuka siku na tarehe ya kesi yangu... ilinipasa niende kwa DK SHIJA kumtaarifu juu ya kesi yangu.. kua imefikia.. Aliniahidi atanipeleka na yeye akashuhudie huku akikumbuka pia ... dada yake anae endelea kuteseka GEREZANI... hakua na imani tena na serikali ya nchi yake.Asubuhi na mapema nipo Kizimbani... nikiamuriwa na Askari niingie lockup kwaajili ya kuitwa kusomewa kesi...muda ule..
Comments
Post a Comment