(From instagram)BONAS PART ZAWDI KWA NISHA 155

                            PART 155
""Nipo katika kizimba kwa mbali namuona DK SHIJA akisikiliza kwa umakini kwa jinsi ninavyosomewa kesi... Mara namuona wakili MERY .. Nilimkumbuka mara ya mwisho kumuona na alitajwa kua ndio mdhamini wangu mkuu wa kesi ile... akili ili nivuruga mara moja huku nikijiuliza huyu wakili katumwa na nani mbona alinisimamia kidete hivyo... na alikua akichambua mambo mengi yakinihusu mimi hasa ufanyaji wa kazi zangu kabla ya kukamatwa.alisema. ""mteja wangu alikua ni raia mwema asiweza kuhusishwa na maswala ya kigaidi aliorodheshewa hapa.hakua kayafanya...."" alikua akifanya kazi ya uhudumu katika mgahawa mmoja.. hapa mjini na siku ya tukio.. hakuhusika.. ila mmiliki wajengo nilioomba jalada lake la umiliki lifikishwe hapa mahakamani leo..mmiliki huyo ndio anajua kinaga ubaga juu ya ulipuaji. jengo.""alisema Wakili MERY..  aliomba jalada la HATI ya ghorofa lile liletwe... Hakukua na mtu aliofanya hivyo ..kesi ikaahirishwa tena....

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA