FID Q NDANI YA EASTER FULLMOON PARTY KENDWA ROCK ZANZIBAR
Ile party ya kijanja..inaowajumuisha..Watalii na Watu wakijanja zaidi... inayojumuisha party zote za kijanja.. katika visiwa vya Zanzibar.... inataraji kuachia bonge la Party siku... j mosi.... on wards
Party hiyo itakua ya aina yake....Atakuepo mkali wa hip hop Bongo (NGOSHA) FID Q.... na wasanii wengine kibao..... .wakidondosha usiku wa hip hop.. huku Tukiipokea pasaka vyema kabisa...
Ma dj mashuhuri ... ZANZIBAR
DJ SIDE...
DJ ALLI
watagusa moto kwa ncha za vidole vyao kama kawida yao....
Nauli mlangoni ni zaidi ya buuuuure....15000 za kitenzeniaaa
WOTE MNAKARIBISHWA......
Comments
Post a Comment