JAY DEE..ATUMA MAJENEZA..ATISHA MASHABIKI WAKE

Msanii Nguli na mwanamuziki pekee wa kike anaetamba na miondoko mbali mbali ya muziki wa TANZANIA anaetambulika kwa jina la KOMANDO JIDE.... (JUDITH WAMBURA)...  Ametisha washabiki wake liiiive baada ya kupost picha ya majeneza mawili..huku akichagua litakalo mfaa.. katika ukurasa wake ""mitandaoni"" na kusema 

"""I've changed my mind
Sitaki tena lile la purple
Moja kati ya hayo hapo juu
#MsiMind
#KilaMtuAtakufa
#Msiogope
Nilikuwa nafikiria pia iwe invitees only
#SitakiKufunuliwa""""

Maneno hayo yamekua kama yanatisha kwa wale waoga wa vifo... Ila JIDE ametafsiri maneno hayo kua ni moja ya kukumbusha... watu kua watambue kua kuna kifo...........wasijisahau...

""


Hapo Hapo

Msanii  huyo pendwa LADY JAYDEE anataraji kufanya shoo moja na mwanamuziki ALLI KIBA.. siku ya tarehe..27 maeneo ya NYUMBANI LOUGE...




Majeneza aliotuma
ladyjaydee(komandoo)

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA