JE UNAMJUA MSANII WA BONGO FLEVA BINGWA WA KUHONGWA
MSANII Raymond Aboubakary Jiliwa
JINA LA KISANII...Jobfire Wa Melody
KUTOKA Moshi Kilimanjaro
Anaetamba na nyimbo ya ""NIHONGE"" inayoshika lavel za juu kabisa katika station mbali mbali BONGO na VISIWANI... msanii huyo wa kizazi kipya anaeonja aina mbali mbali za muziki huo.. amethibitisha utajiri wake huo wa sauti baada ya kuonyesha ujuzi katika nyimbo yake ya "TUMA"yenye asili ya Mdundiko.. aliomshirikisha HUMMER Q...ambao ulikonga Nyoyo za MASHABIKI
Mbali na kutamba na nyimbo zake NYINGI alizoimba mwenyewe...
Pia JOBFIRE alifanya nyimbo na NEY WA MITEGO inayoitwa(solemba) hakuishia hapo alishirikiana na AMINI.. SINGLE SALLY na wengine kibao...
Pia ameweka nia yake hiyo... kuendeleza na kugeuza sura ya Mziki wa TANZANIA kua wa Kimataifa zaidi.. hasa vionjo vyake anavyovitia katika nyimbo zake.... ni zaidi ya sanaa ya kucheza na sauti.. bali ni kipaji alichokua nacho...
""Ameweka malengo ya kufanya kazi na.. VICTORIA KIMANI... ALLIKIBA na BARNABA....
""KWA KAZI ZAKE.... AMA SHOW
MTAFUTE KUPITIA...(Contact.. 0658151015/0656278685)
Comments
Post a Comment