NASHUKURU..B.O.B
ZAO LA KATA""" KILIMANJARO
WASANII WANAOKUJA JUU KATIKA STYLE MBALI MBALI..BONGO FLAVER
Mohamedi (mello)
Swalehe (swazi)
Wanandugu wawili wanaokuja juu baada ya kutoa ngoma kali kali
Wanaopatikana katika nyanda ya KASKAZINI mwa Tanzania..KILIMANJARO
Wamekua gumzo kila kona kwa kazi nzuri wanazofanya...
Tembelea katika mitandao.. andika B.O.B The dreamers
Moja ya azi zao ni kama...
Nashukuru
Mama Africa
Suit & tie n.k
Kama unahitaji... kazi zao na
Kama unawahitaji katika show...
Search bloger contacts
Comments
Post a Comment