YA FAHAMU MADHARA YA UVUTAJI SIGARA
Dunia inakilio cha kupoteza binadamu wengi kwaajili ya uvutaji Sigara(tumbaku)
Imetathiminiwa na wizara mbali mbali za afya Duniani kua Kila sekunde nane, mtu mmoja hufariki kutokana na utumizi wa tumbako. Imebainika kuwa watu saba kati ya wavutaji sigara kumi, huanza uraibu huu wakiwa wangali watoto. Wanaoendelea kuvuta sigara kwa muda mrefu hufupisha maisha yao kwa miaka 20 hadi 25. Sababu ni kuwa sigara ina kemikali zaidi ya 4,000 ambazo zina uwezo wa kudhhuru afya ya binadamu. Madhara yanayosababishwa na uvutaji sigara ni mengi na yamesambaa mwilini kote. Nchi nyingi zenye hali ya hewa ya baridi imebebelea idadi kubwa ya wavutaji sigara kuliko nchi nyingi za hali joto.. Yafuatayo ni baadhi tu ya maradhi yatokanayo na utumiaji wa tumbaku
Kung’oka kwa nywele
Magonjwa ya macho
Kukunjana kwa ngozi
Magonjwa ya masikio
Saratani ya ngozi
Magonjwa ya meno
Magonjwa ya mapafu
Mifupa
Ugonjwa wa moyo
Vidonda vya tumboni
Magonjwa ya ngozi
Ugonjwa wa ‘Buerger’
Saratani
Comments
Post a Comment