ZANZIBAR UCHOCHORO KWA CD FEKI
Huku mamlaka zinazosimamia sanaa ZANZIBAR.. imekua ikionyesha kupuuza kwa kazi za wasanii ..kuachwa zikauzwa kiholela..
""Jopo la vijana wengi (machinga) ZANZIBAR limekua likitegemea ajira yao ya mikononi ya ya kuuza cd feki kwa bei rahisi kabisa..
""Shirikisho la sanaa Tanzania na ZANZIBAR limejisahau kua ..hata Zanzibar.. kazi za sanaa za wasanii zinapendwa kwa asilimia kubwa ukitofautisha na Tanzania BARA...
""" KUMEKUA na viwanda vidogovidogo vya kufyatulia kazi hizo na kusambaza kihokela...maeneo mbali mbali ya ZANZIBAR
"""Huku masikitiko Baraza la sanaa likiwa lina wafanyakazi wanaopokea mishahara bila kazi......
..
..
..
Maeneo mengi ya KISIWANI zanzibar kumekua na uuzaji holela wa cd feki.. na hii inatokana na bei ya chini wanayouzia..ukilinganisha na ile ya cd orijino
":Mamlaka sahihi zinazofuatilia kazi hizi mnaombwa kuangalia hili kwa jicho pevu..
..
...
.by sweetstoryz
Comments
Post a Comment