ZAWADI KWA NISHA PART 3

PART...3

Maneno ya RIYAMA ndio yalikua silaha kuu pale gerezani hakupanda kuonewa.. hata kidogo ...mara nyingi aligombana na manyapara pale walipomlazimisha jambo asiolitaka... waliona wavunje sheria wamuweke katka greza la wanaume kwa jinsi alivyo na vurugu... sheria ziliwabana hawakuweza kufanya hivyo....
Kujiamini kwa RIYAMA kulimpa ustahimilivu na kutokuogopa kwa NISHA kwani alikua ndio rafiki yake mkuu katika gereza lile..
NISHA hakuwahi kukosa chakula kwani RIYAMA aliogopeka gereza zima muda wa chakula alibeba sahani mbili na wala hakujali foleni alimuekea NISHA na yeye kisha walienda kula... na walijitenga peke yao.....
..
..🎬🎬🎬🎬🎬🎬🎬🎬🎬🎬
NISHA na RIYAMA hawakupenda kulala sana katika mida ya usiku...mara nyingi walizungumza hasa wanapokua wamejitenga.....kwani wakiona ndio njia nzuri ya kuepuka baridi na mbu......
.........................,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Muda huu NISHA alionekane akiwa na huzuni na RIYAMA hakuPenda kitendo kile... Mara nyingi aligombana na NISHA kwakua alipoteza furaha yake kwa kuwaza vitu vya nyuma....
""""NISHA akavuta kumbukumbu....
🎬🎬🎬🎬🎬🎬🎬🎬🎬🎬
NISHA alitimua mbio hadi nyumbani kwa mama yake na kumuhadithia aliyoyakuta kule.mwituni. mama yake alimkanya na kumuambia kamwe asisogelee eneo kama lile atapokutana na mazingira yale....wasije wakamuua na wakati anamtegemea hasa katika hali yake ya kuumwa...
NISHA akahoji...
....mama kwani wale wanakujaga kufanyaje...na kwanini waje na madokta... na kwanini hufunga kambi pale kama wanaotibu mtu... ila pia kwanini wafanyie mambo hayo porini....
NISHA aliuliza maswali hayo na kutaka majibu toka kwa mama yake....
...mama alijibu....
""Mwanangu NISHA ya Ngoswe mpe Ngoswe... acha watu na Dunia yao... tulisha kuta mizoga ya binadamu sana katika pori hilo ila.. hakuna wakusogea kuuliza mizoga ile imetupwa na nani ..pia hatujui wanakuja kufanya nini.... kila mtu huogopa na ukisema maisha unaweza kuyakosa cha ajabu mzee JENGUA.. mwenywkiti wa kijiji anawajua....
.............................................
Nini kinaendelea.....

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA