ZAWADI KWA NISHA PART 4

PART 4

Mwenyekiti wa mtaa JENGUA aliyatambua yote yaliokua yanaendelea katika pori lile.....maana kabla ya yotee watu wale hupita nyumbani kwake...mwenyekiti.. hata ilipopatikana mizoga... aliwaamuru vijana waende wakazike miili hiyo....
NISHA alisumbuliwa sana na mawazo hayo  kwani hakujua ninini kazi ya wale watu na jama ilikua ni kawaida yao kwanini walkuja kufanyia hayo katka mwitu wa kijiji chao....
������������������
NISHA alitoka hadi katika maporomoko ya mwitu akiwa na JENIFER wakitafuta kuni..za matumizi ya nyumbani
JRNIFA Alikua muongeaji sana hasa alipokua na NISHA... JENIFFER... Alipiga kelele...
NISHAAA��������
Nishaaaaaa
NISHA alitoka mbio huku akimfuata JENIFFER akijua labda kangatwa na nyoka.... alipofika  JENIFER ALimuonyesha NISHA mwili wa mtu mzima wa kiume umetupwa... NISHA alimziba mdomo JENIFFER na akamuamuru waondoke...
Walipokua njiani.... wanarudi nyumbani kwa mwendo wa kasi ghafla wanakutana na mwenyekiti  wa kijiji...
MZEE JENGUA..
JENNIFER akaanza kumuamkia harakaharaka na kuanza kumuambia..
...Mwenyekiti kule bondeni tumekuta mwili wa binadamu aliokufa.....
Mwenyekiti... alitoa macho kisha akawajibu.... kwa dharau... " acheni uoga nyinyi huyo sio mtu.. mzoga tu  huo wa ngombe..huku anacheka..na kuondoka....
NISHA na JENIFFER walimuangalia..kisha wakageukiana kuangaliana kisha wakaendelea na mwendo wakitafakari mwili ule........

Nini kinaendelea

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA