BOB JUNIOR ATOA USHAURI WA BURE KWA MASHABIKI ZAKE

Msanii RAHEEM RUMMY NANJI.. almaarufu (BOBJUNIOR) msanii anae tamba na nyimbo ya BOLINGO..
Msanii pendwa.. aliwahi na kuendelea kuwatoa wasanii kadhaa ki mziki..
BOBJUNIOR.. mmiliki na mzalishaji muziki katika studio za (SHAROBALO RECORDS) .... juhudi zake za musiki Tanzania zimeonekana sana baada ya kuwazalisha wasanii wanao wika kwa sasa kama...  DIAMOND PLITNUMZ...NURU...TOX STAR.. BONGE LA NYAU...NK...
hata hivyo BOB JUNIOR.. amekua...akifanya shuhuli za uandishi wa muziki....
Nguli huyo.. mkali wao na.. mkali mwenye nyota ya chipsi mayai.. hivi karibuni ametoa ushauri kwa vipengele..
Ikiwa nikuweka nafasi yake yeye kama kioo cha jamii..anaetekeleza hilo kwa kutoa ushauri mzuti wa kimaisha
Nanukuu.
.. maneno yake...

MOJA KATI YA MAFANIKIO YA MAISHA HIVI VITU NI MUHIMU SANA
1.KUJITUMA SANAA
2.PENDA KUJARIBU VINGI MAISHANI KAMA NI BIASHARA AU MUSIC AU LOLOTE LILE IKIWA NI KAZI YAKO
3.USINGIZI ACHANA NAO KWANI NI ADUI WA MAISHA YAKO
4.HESHIM SANA WATU SABABU NDO WANAO KUSABABISHA UFANIKIWE BILA USHIKIANO MZURI HAMNA UTAKALO FANIKIWA
5.KUBWA KABISA MTANGULIZE MUNGU KWA KILA JAMBO LAKO MUOMBE SANA SABABU NDIO MTOA RISKI NA HAKUNA ZAIDI YAKE....
...
..
"""Sisi kama mashabiki wake... Tunazidi kumuombea Mungu na asichoke kutupa ladha...""" alisema mmoja wa mashabiki zake alipohojiwa kuhusu BOBJUNIOR...
....
....
..

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA