JE UNAJUA NAMNA YA KUPENDEKEZA TUZO
Pendekeza majina sasa unayopenda yaingie kwenye tuzo za watu 2015. Kupendekeza ingia kwenye website ya www.tuzozetu.com
AU
Tuma neno TUZO kwenda 15678 upate menu kama ilivyo hapo chini. Andika code ya kipengele husika, jina la unayempendekeza na kisha tuma kwenda namba 15678
1. Mtangazaji wa redio anayependwa (TZW1)
2. Kipindi cha redio kinachopendwa (TZW2)
3. Mtangazaji wa kipindi cha runinga anayependwa (TZW3),
4.Kipindi cha runinga kinachopendwa (TZW4),
5. Tovuti/Blogu inayopendwa (TZW5)
6. Muongozaji wa video za Muziki anayependwa (TZW6)
7. Muongozaji filamu anayependwa (TZW7)
8. Mwigizaji wa kike anayependwa (TZW8),
9. Mwigizaji wa kiume anayependwa (TZW9)
10. Mwanamuziki wa kike anayependwa (TZW10)
11. Mwanamuziki wa kiume anayependwa (TZW11)
12. Filamu inayopendwa (TZW12)
13. Video ya Muziki inayopendwa (TZW13)
14. Mfadhili maarufu (TZW14)
PENDEKEZA MAJINA SASA
#Tuzozawatu #TZW2015
@tuzozawatu @tuzozawatu @tuzozawatu @tuzozawatu @tuzozawatu @tuzozawatu
Comments
Post a Comment