(From instagram)ZAWADI KWA NISHA PART 218

Ni asubuhi kimwanga kikipitia katika upenyo wa dirisha  uliotokea baada ya kioo cha... dirisha.kufunguliwa.. nazisikia.kelele za vyombo jikoni bila shaka.itakua ni JENNIFER aliodamka asubuhi kwaajili ya kuaandaa chai.... na kumfanyisha mazoezi BULLA ikiwa ni ya kukukimbia kimbia kama maelekezo ya DOKTA SHIJA... uvivu wangu ulimchukiza sana JENI.. ilifika hatua anazima kila kitu katika chumba nilicho lala ikiwemo kiyoyozi... ili ninapojihisi joto basi ningeamka mwwnyewe tu... Leo hii ilikua ni siku ambayo SIKITU huitumia katika ibada ..hua haendi kutafuta riziki hutumia kama kupumzika pia... leo hii katutembelea.. na ninaisikia sauti yake akiongea na JENI ..nje.. ninaamka toka kitandani.....na kuelekea nje
............
........
...
"Vipi SIKITU...
""Poa NISHA..leo nimekua mgeni wenu..
""Sawa karibu....ngoja niende nikaoge maana ndio naamka...
""Vipi jana ulikua na mizunguko..nini..??
""Ndio nilikua na COSTA kwa aajili ya ile ahadi yetu...nilienda kuitimiza jana...
(JENI alikua na BULLA wakifanya mazoezi ) ..
Kwakweli swala la  Kumfanyisha mazoezi BULLA lilinikumbusha mbali kipindi ananifundisha na kunipa moyo..
Lakini hali yake ilikua sio ya kukatisha tamaa ila kumbukumbu za mbali hakuweza kuzikumbuka japo nilijaribu kumtajia marafiki zake alishindwa kuwakumbuka mpaka alipokaa sana na kuzivuta hisia...kwa muda mrefu...
....
...
..
Tulikua mezani tukinywa chai...
Nilikua na mazungumzo na BULLA... maongezi ambayo mtu wa pembeni angeyasikia  huwenda angnielewa kabisa alikua akiongea lugha ya picha.. aliongea kile alicho kua anakiona alipofikiria...
""NISHA NISHA... SEBA anakuja leo namfuata kwa maongezi...atachukua gari yangu.. tutaenda..hotelini... ila kamwe siamini... maongezi yao SEBA bado yupo na GIDEON...NISHA. usimuamini mtu...
":maongezi yale nilitambua anamaanisha nini.. maongezi ambayo anayaunganisha matukio..... leo niliingia katika chumba alichokua akitibiwa BULLA... niliona michoro mingi ikiwa ni ya kumtambulisha BULLA kua yeye ni nani...kwa kutumia michoro... ya kiudaktari... nilipata wazo kua hakika... kama dokta walitumia michoro kuirudisha kumbukumbu haraka ninauwezo wa kugeuka kua dokta...
.....
...
Nilikumbuka kua ninaweza kumchorea BULLA matukio ili ajitambua yeye ni nani na amepitia mambo mangapi....kupitia kipaji changu amnacho nilirithi kutoka kwa mzee GOBA...
Nilichora miChoro kibao ya watu wa chache tulio wahi kukutana nao kipinfi nipo na BULLA...na kuchora vitu mbali mbali vilivyokua vikimzunguka kipindi yupo na uzima na akili zake......
...
...
Nilijaribu zoezi langu .. nilimuita BULLA ndani...kule alipokua akifanyiwa matibanu...na DOKTA SHIJA... kiukweli BULLA alikua tayari alishatuzoea.. aliweza hata kucheka nasi...na alifurahi nasi.. tulijitahijidi sana...kuwa nae karibu...
Nilibandika michoro kibao ukutani...
Nilianza kumuonyesha picha ya  jengo la mgahawa. jengo ambalo nililichora kiufasaha sana... huwezia amini  alitaja jina la sehemu na baadhi ya watu waliokua tukifany nao kazi katika mgahawa ule... alitaja hadi jina la ZULEA... kisha aliwaza sana.. akaniambia ""NISHA... ZULEA na SEBA wamenialika Chakula cha usiku leo...""alisema vile kama ni mtu alie sahau ahadi kisha muda ulishapita.. masikini hakujua kam ni miaka sasa ilishapita..bila yeye kujitambua.... niliamini...kua michoro ilimkumbusha

..
..

.. ......chumba sasa kilijaa michoro.. ya watu kibao ikiwemo wale  ambao nilikua na wasi wasi nao juu ya mzunguko mzima wa GIDEON...kiukweli hata wale ambao sokuwahi kuwaona.. niliposikia hadithi zao...niliweza kuwachora...vile vile.. hichi ni kipaji ambacho..nilizaliwa nacho.......
..
..
...
BULLA alishaanza kutembea mwenyewe mitaani na alirudi mida ya usiku....hakika  BULLA alikua sasa BULLA wa zamani..... hatukua na shaka nae..hata alipoonfoka..
. Alipoataka kurudisha kumbukumbu aliingia ndani na kuziangalia picha
...
...
..
Leo kulitokea tukio moja la ajabu maeneo ya mjini... Alikutwa kiongozi mmoja wa serikali.. niliemtambua kwa jina la JULIO... yeye alikua ni mmoja kati ya viongozi wa kusainisha majengo aliofanya kazi ya serikali.. kwa muda mrefu.. alikutwa amekufa katika barabara na gari lake akiwa amelipaki pembeni.. kilikua kifo cha gumzo...
Leo niliingia ndani ila nilishangaa kuona picha ya JULIO ikiwa imechomekwa kijiti cha meno katika jicho la picha ile.. na nilikumbuka JULIO ni mmoja kati ya picha nilizowahi kuzichora.... pembeni nilimuona BULLA akitafuna kijiti kama kile kilichochomekwa katika picha ile...
Nilimuuliza BULLA wewe ndio umechomeka kijiti hichi.... katika hii picha ya JULIO...??
Alitingisha kichwa kama anaekataa.. kisha akaaamka na kuchomeka kijiti kingine  katika picha ya DOKTA MAGU.. dokta ambae alikua akifanya kazi...na RIYAMA... kisha BULLA akatoka nje...
Nilipatwa na wasi wasi... kutokana na kifo cha JULIO........
BULLA alikua na nyendo gani...??. naona picha alioikusudia. ndio hiyo ya hiyo mtu aliekufa... kajuaje.....mmmh..??
....
..
..
...
..
JE NINI KINAENDELEA....

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA