PIGA KURA KWA NISHA
Muigizaji wa kipekee mchekeshaji wa kike mahiri Tanzania.. SALMA JABU (NISHA) ameingia.katika.tuzo za kipekee na za kuheshimika zinazohusisha Filum Bongo zinazotambulika kwa jina la
TANZANIA FILM AWARDS
Msanii huyo anakipaji cha pekee hasa katika uchezaji wake amekua akionyesha utofauti katika fani yake hiyo.. amewahi kutoa filum kadhaa
Ikiwemo #GUMZO...PUSI NA PAKU..HAKUNA MATATA...ZENA NA BETINA ...SHIDA NK... Filum hizo.zimemletea umaarufu.. nakutambulika nchi nzima...kwa ubora wake
Kutokana na filum ya ZENA NA BETINA... NISHA anawania Tuzo.ya (best comedian)
..
...
...
blog hii inakuomba umpigie kura kwa kwenda sehemu ya messeg katika simu yako..
..
Andika TFA 150 Kwenda 15522
..
..
..tuma mara nyingi uwezavyo....
Asante
Comments
Post a Comment