JINI TUNU PART 4
Tulipokua tunarudi
SUDI aliiona ni safari ya kawaida kwake ila mimi kwngu ikikua safari chungu sana... niliwaza kwanini mambo yale ylinitokea na maneno.. ya TUNU mbona yalinitia kitendawili... .. hakika niliona kama naota...na kamwe sikutaka kumuambia SUDI yalionitokea kwani kamwe asingeamini...
Tulipanda gari kurudi hadi nyumbani na ilinipasa nijiandae kwa safari maana siku ilikua imeshawadia..ya kurudi nyumbani.. kuondoka kwa bibi kijijini

Lakini nikaoana nisingeweza kuondoka hadi kumuelezea bibi yalionikuta... japo yalikua kama ndoto..
kabla ya kuondoka asubuhi niliona nimuambie....
.Bibi aliniandalia chai na zawadi za korosho alizoziandaa kwaajili ya kuondoka nazo pia alifunga funga njegere na maharage..
""Bibi mbona mzigo mkubwa hivyo nitaweza kweli mjukuu wako... (nilimuambia)
""Acha uvivu mjukuu wangu huoni ukifika hamtapata tabu ya kununua tena....tena mama yako atafurahi....(alinijibu bibi huku anafunga)
Ngoja nichukue na mbaazi mkwe wangu anazipenda sana hizi..(bibi aliniongezea tena furushi)..
"" Nawe bibi utaniua mjukuu wako kwa mizigo..hii na hili burungutu tena,,?(niliongea huku na mtania bibi)
..........

Lakini bibi hivi...huku kuna sehemu sio ruhusa kwenda kwenda na kuna mambo ya mizimu ni kweli??
(Nilimuuliza bibi)huku nikimchimba kutaka kujua maana sisi tulijiendea tu bila kuuliza....

""Ndio mjukuu wangu kuna sehemu moja hivi...hukoo... zamani tulikua tunakaa mimi na babu yako na baba zako kipindi ni wadogo kulikua na nyumba inaitwa nyumba ya SIMIU.. Nyumba hiyo ilikua ni ya Mtwana mfalme SIMIU..wa KIARABU....aliekua anatawala enzi hizo ila alipofariki alimuachia mtoto wake.. baada ya ukoloni kukomeshwa walinyanganywa Madaraka.. pale.. ila kipindi wao bado wanaishi pale.... kuna MTEMI wetu alitaka kumuoazesha mtoto wake wa kiume kwa mtoto wa mtoto wa kike wa mtoto wa MFALME SIMIU yaani mjuukuu wa SIMIU.walikua wakipendana sana. Mtoto wa MFALME alikataa kumuozesha mwanae kwa jamii ya watu wa ngozi nyeusi.. japo binti alimpenda mtoto wa MTEMI... baba yake alikataa katu..
Siku zilivyozidi...
Tulisikia Msichana Yule wa KIFALME aliwalipa ujira wafanyakazi wa baba yake akawaamuru wachimbe shimo katikati ya nyumba kisha wamfukie na wasiseme kwa mtu... kwakua walilipwa ujira mkubwa walifanya hivyo...ila mjakazi mmoja alitoa siri ile baada ya miaka kumi na hii ilikua baada ya kuona mauza uza yalipoanza..
Familia ya Mfalme walianza kufa mmoja mmoja kwa mazingira ya kutatanisha.. mwishoni alibaki baba wa mwanamke yule aliejifukiga na kufa..
Alipoona hali hiyo aliamua kuhama na kuondoka kwao....uarabuni.. na hakuonekana tena pale na ketelekeza jumba lile la kifahari enzi hizo...
...
...
Jengo lile lilibaki lenyewe baada ya kuwa hakuna aliekuwepo.. lilikua chini ya mtemi wetu ..
Baada ya muda...MTEMI..alihamia katika ile nyumba na gamilia yake..ikiwa mtoto wake ambae akishaoa mwanamke mwingine....
..
..
MTEMI.aliingiwa na Tamaa kwakua nyumba.ilikua ya kifahari sana.. baada ya mwezi mmoja MTEMI alipoteza maisha yeye na familia yake kwa mazingira yasioleweka..

... mpaka sasa watu walihama pale maana kulikua na kijiji kikubwa lakini waliondoka watu wote... pakawa kama hapakua na kijiji.. sisi wenyewe pamoja na baba zenu walipokua wadogo sana tukahamia huku pale paka baki jumba lile...lenyewe sasa hibi pameshakua msitu.. maana tuliogopa.. vimbwanga bilikua sio bya kitoto katika nyumba ike.. mara ilikia miziki.. ngoma zilipigwa nyakati za usiku.. yaani mmh yakikua mauzauza...
""(Nikamuuliza bibi) huyo msichana aliitwa nani..??
Bibi akifikiriaa kwa kinaa...kwakua ilikua zmani sana..... kisha akakumbuka.kasema aliitwaaa TUNU
Nikahamaki
..TUUUUNU!!!!!!!!!!!!!!!!

Itaendelea...... je.. nini kitatokea kwa SAM....
Comments
Post a Comment