From.(Instagram)....ZAWADI KWA NISHA 217
Hakika COSTA alionekana ni mtu aliehitaji kunisaidia kinaga ubaga lakini kwanini aliweza kuzingatia hili bila kuogopa yalio nifanya nikawa na wasiwasi.. nilisogea hadi kunako kiti ili nipate kumsikiliza ombi langu nililotaka kulijua kutoka kwake hasa mahusiano ya ROSE na BULLA yalioniumiza kichwa kwa kudhani kuna kitu ndani yake…..
..
..
kweli ni kwamba kuna kitu nakihitaji kukijua kuhusu boss mwanamama ambae ulikuja nae siku ya sherehe pale .. nadhani unatambua hilo.. ninae kaka yangu anaeitwa BULLA ambaye hivi sasa anamatatizo makubwa sana yanayohitaji msaaada mkubwa sana amekua akimtaja mtu anaeitwa ROSE kila muda je kuna nini unachojua... .??. ila bila kujua mawazo yake yalikwamia wapi hakuna nitakacho fanya………. Nilihitaji sana kujua nini anafikiria na niweze kumuamulia…hasa kwa kipindi hichi anachoshindwa kufanya lolote...
...
...
..
COSTA alinistopisha na kuniomba niendelee na kinywaji alichoniagizia ambayo glass ilikua mkononi kipindi naongea alisema “najua unahitaji msaada NISHA najua yapo yanayokukukabili tena sio ya kitoto na yanahitaji umakini… hakika unapo niambia habari za BULLA nakikumbuka kifo cha ROSSE ambacho kilileta huzuni sana kwa BOSS wangu .
.pole sana NISHA najua maneno haya yatakuumiza sana… “mimi nilikua mtu wa karibu sana wa ROSE ambae ni dada halali kabisa wa BOSS wangu yeye alifanya kazi katika nyanja ya sheria..alikua akifanya kazi hizo kwa kujitegemea…”siku moja alikuja ofisini kumtembelea muheshimiwa.. WINIE.. na pia tuliongea mengi sana ikiwa swala la kesi ya mzee mmoja ambae alitambulika kwa jina la NGORY aliekua mlalamikaji wa kesi ya unyanganywaji udhuliwaji.. viwanja… katika sehemu moja huko vijijini...kwani aliniambia yuko beneti nayo na anaifuatilia kiundani zaidi na hivi karibuni wapo mbioni kumtia hatiani.. aliofanya ubadhilifu huo… siku ya pili alikuja na BULLA pale ofisini kwa muheshimiwa kwa lengo la kutaka msaada baadhi ya mambo ya kiusalama ikiwa ni kutaka kufuatilia kesi iliokua ikikukabiki ikiwa BULLA alimuomba msaada huo na aliahidi pia kumsaidia...ROSE na BULLA walifahamiana kwa mzee NGORY kipindi hicho BULLA alikua akiishi hapo ROSE alimjua mwanzo kutokana na Tape ambayo wakili ROSE aliipata kutoka kwa Dereva Tax siku moja kabla ya dereva Tax kuuwawa na watu wasiojulikana.. katika Tape ile alionekana BULLA akiwa ni mmoja kati ya wafanyakazi wa aliehusishwa katika Tape ile..... hivyo alipo muona alimfanananisha alihitaji maongezi nae.. BULLA alimueleza ukweli wote...ni kweli alikua ni yeye alioonekana katika ile tape na alikua ni mlinzi anaelinda usalama wa Muhusika wa Tape ila... zimekua zikitafutwa Tape hizo kwa gharama zozote..na zimesababisha vifo vingi nyuma ya pazia chanzo ni Tape hizo... ila ROSE alipomuhoji BULLA na kukubali na kukiri ni kweli alikua akifanya kazi na Muhalifu mkubwa tu aliehusika katika Tape ile.
ila mpaka ROSE anapoteza maisha... tulikua tuna ahadi twende tukaiangalie Tape ili tuweze kujua tunafanyaje juu ya kesi zilizokukabili wewe pindi upo jela na kesi nyingine zilizowahusu watu wengine... bila shaka TAPE ile ilikua na matukio mengi sana... ROSE ameniachia kitendawili kwani ..mara ya mwisho kuongea nae ilikua saa 3 asubuhi... kua tukutane mida ya usiku nilikuja kupata taarifa saa 2 kua ROSE alikutwa amekufa katika nyumba ya FUNDI NGORY.. na watu wasiojulikana...na BULLA kukutwa akiwa amechanganywa akili.... ilibaki kua kitendawili kua TAPE alibaki nayo yeye au BULLA .... na ninatumai mpaka sasa BULLA anaelekea kupona...
na ninakupongeza MUNGU kukulengesha kwangu hakika unayo bahati.... japo nilimuahidi ROSE enzi za uhai wake...japo serikali ilipinga sikujali...
kwakua mimi ndio nilikua muhusika mkuu wa mambo ya usalama..basi nilimuahidi nitalitendea kazi ikiwa ni pamoja na ulinzi wake yeye mwenyewe pamoja na familia yake… kama ninavyofanya kwa mdogo wake ambae yeye mnajimu mkuu wa serikali... mamlaka zote ikiwa za hali ya hewa zilikua chini yake...
kwakweli kesi yake ilihitaji umakini wa usalama zaidi… WINNIE yeye nilinza nae kazi kipindi alipokua amekwenda SOMALIA... kufuatilia mambo ya unajimu katika nchi hizo ikiwemo SUDAN kwakua ilikua ni kipindi cha vita... serikali ilinipa jukumu la kulinda uhai wake nikishirikana na Wizara yangu ya ulinzi na upelelezi....
Haikua kitu rahisi kutoa vijana kulinda usalama kwa Mwanasheria au wakili wa kujitegemea....kama ROSE. serikai ilipinga hivyo na sikujua ni kwanini serikali ilifanya hivyo ..nilishindwa kutekeleza hilo... mpaka Mauti yakamkuta ROSE akiwa hana ulinzi wa aina yoyote na alijivisha ki ushujaa kesi ambazo huenda zingempa jina na vyeo serikalini...
Nilijaribu kuiambia serikali.. wanipe jukumu la kufuatilia kiupelelezi juu ya kifo cha ROSE ila nilionywa na nikaambiwa sio kazi yangu.. na walijifanya kuita wapelelezi kutoka nje.. na hakuna ripoti yeyote iliweza kuingia... mpaka sasa...
Nilibaki kimya huku nikimshauri dada yake WINNIE ambae ni boss wangu... tumuachie Mungu... ili tusije kuharibu kazi..... Unakibarua kizito sana NISHA.... kitendawili cha Tape ndio jibu tosha la hatima ya kesi yako.. kwani inaonekana kuna Mpiga picha Mwandishi alijitolea kuchukua matukio ya mtu huyu ki siri sana..... kitu muhimu nilikua nimepanga kukifanya..nikuguatilia hili.. ila nilikatika moyo nikaamua kupotezea.. kikubwa..ni kuenda kwa mke wa dereva Tax Aliekabithi Tape zile kabla ya kifo chake...nahisi yapo mambo hadi dereva kuamua kupeleka Tape zile kwa ROSE..
huenda mke wake huyu akawa anajua moja kati ya jambo tusilo lijua....
.......
......
......
Maneno ya COSTA yalijua mapya kwangu au muendelezo wa siri ya Tape ambayo hadithi yake niliipata kwa BULLA alipokua ananielezea sababu za kuacha kazi kwa GIDEONI.. sekeseke za ...mpiga picha.alieitwa SITE MA PICHA..na... kifo cha STELA.....Mke wa CHILO.. sasa nilipata ripoti kamili ilionipa jibu kua niitafute TAPE..... TUUU.. huku nikisubiri majibu ya kesi yangu.. nani yupo nyuma ya mmliki wa JENGO... Mh nilimshukuru COSTA.. na kumuahidi na kumshukuru aliposema atanisaidia...nitapohitaji msaada.nitampata wapi.. Mke wa dereva Tax Marehemu alioachiwa mkoba uliokua na Tape za mauaji na Matukio ya ofojishaji saini kwa fosi...Toka na kabla ya kifo cha baba yangu mzee GOBA.....
Mke wa dereva Tax. ndio jibu kwa sasa
Nini kitaendelea........ ....
Usichoke kufuatilia story hii instagram....... @sweetstoryz
Comments
Post a Comment