MTAA KWA MTAA YATINGA MTAANI 28 MAY 2015

Yule msanii wa Kike mkali wao wa vichekesho nchini SALMA JABU NISHA (NISHABEBEE)
Aliowahi kuwavunja watu mbavu na filum kadhaa za vichekesho kama ""pusi na paku.....zena na betina....gumzo.....hakuna matata... nk
Siku ya Alhamisi ya Tarehe 28 may anataraji kuitoa ile Filum inayosubiriwa na wengi ambayo inatambulika kwa jina la hakuna matata..
""Akiongea katika moja ya mahojiano yake katika vituo mbali mbali vya habari amesema kwamba filuma ya MTAA KWA MTAA ameonyesha ujuzi zaidi... kwani mara hii alivaa uhusika ambao utawavunja mbavu mashabiki wa vichekesho kwa namna alivyo cheza""
pia.. katika filum hiyo inayotoka karibuni amewashirikisha wasanii chipukizi na wale mastaa maarufu katika nyanja ya uchekeshaji... kama ..Asha Boko....Tausi....nk. pia ameendeleza kumchezesha  mkali wa muonekano katika filum za umakini na sie mwingine ni HEMEDI (PHD)
""USIACHE KUNUNUA NAKALA YAKO ORIGINAL KABISA  WAHI UJIONEE UTAMU WA VICHEKESHO""28/5

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA