SALMA JABU (NISHA) ANAKUJA TENA NA MTAA KWA MTAA

Muigizaji machachari wa Tasnia ya Bongo muve anaekaza kila kona SALMA JABU NISHA... hivi karibuni anataraji kutoa  filum mpya ikiwa ni kuwapa kile cha moyoni mashabiki wake ...
Baada ya kutesa na Filum za HAKUNA MATATA..TIKISA..GUMZO..PUSY na PAKU..ZENA na BETINA..SHIDA..   sasa NISHA anawajia na filum nyingine inayotambulika kama .. MTAA KWA MTAA.. filum hiyo...itaibua mashabiki wake wanaotamani.kumuona tena baada ya kuwashirikisha watu machachari kama mwanadada ASHA BOKO... TAUSI ..HEMEDI..PHD. DAYANA wa kigodoro... Na wengine wengi aliowaibua vipaji...akiwemo Mtoto wake mwenyewe NISHA..
.
...
FILUM ya MTAA KWA MTAA inataraji kutoka mwisho wa  mwezi huu wa 5..
.....
Nisha ameomba mashabiki zake kuisubiri kwa hamu.. kutokana na ubora uliokuepo katika Filum hiyo kuna utofauti umeongezeka....
.......
.......
........
Ewe mshabiki wa NISHA.. pia usichoke kuendelea kupiga kura katika TUZO za TAFA... TANZANIA FILM AWARDS  mchekeshaji bora...kwa kwenda sehemu ya messeg katika simu yako na kuandika neno TFA 150 kwenda 15522...
PIGA /TUMA SMS mara nyingi uwezavyo hakikisha unaweka salio la kawaida sio...lile la kujiunga...

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA