SALMA JABU (NISHA) YES or NOT
Salma Jabu Maarufu NISHABEBEE. Muigizaji bora wakike wa filum wa kuchekesha....2013-2014..na anaewania kinyang'anyiro cha Tuzo za Tanzania Film Awards best comedian 2015..
..hivi karibuni... .ametoa swali kwa mashabiki zake hii ni baada ya Filum ya SHIDA kushika kila pande nje na ndani ya Tanzania huku baadhi ya mashabiki wa FILUM ..... wakitaka kuona kitu kingine kipya kutoka kwa kipenzi chao huyo...
..
Salma Jabu ambae anapenda kua karibu na mashabiki zake kuliko muigizaji yeyote yule wa Tanzania... amedhihirisha ilo baada ya kuwashirikisha mawazo shabiki zake baada ya kutoa swali lililowataka shabiki zake wamuambie kama atoe Filum mpya au laa...
Hivyo kama wewe ni shabiki wa kazi za NISHA jibu swali hili .. Atoe Muve mpya..???..
Jibu kwa yes au No...
Comments
Post a Comment