ALLI KIBA BEGA KWA BEGA NA JAQLEEN MENGI(KYLEEN)
Huku Bahati na fursa zikizidi kumtembelea msanii nyota wa Tanzania na mshindi wa Tuzo sita za KILIMANJARO MUSIC AWARDS .... ALLY S KIBA (ALLIKIBA)
amepata fursa na nafasi ya kuteuliwa kua balozi wa kusimamia harakati za kuzuia upoteaji wa shani ya taifa na hadhina ya wanyama pori... chini ya WILDAID ..iliolenga kusimamia harakati za upotevu na mauwaji ya wanyama Tembo..
Kampeni hiyo ambayo imeungwa mkono na wasanii na watu maarufu duniani... na kwa upande wa tanzania imewashirikisha ama kuwapa nafasi JAQEEN MENGI(Kyleen) Vanesa mdee na KING ALLI KIBA...
Allikiba alipata fursa ya kukaa takribani siku tatu na wanyama aina ya tembo ... huku akipata elimu kubwa tu kuhusiana na harakati hizo..
Alikua na machache ya kushauri ...ALIKIBA alisema....
....
“Ninafurahi kupewa heshima hii na nitatumia nafasi hii kutoa kila mchango ninaoweza kutoa katika jitihada hizi za kulinda wanyama pori wetu”, alisema Ali Kiba. “Tembo wetu wazuri lazima waachwe waweze kuishi katika mazingira yao ya asili badala ya kuishia kuwa pambo kwenye meza ya mtu”, aliongeza Ali Kiba...
Tunaimani Atakua ni mfano wa harakati hizo..chini ya kampeni inayosemamiwa na WILDAID.... ambayo iliwapa heshima hiyo kuwaona ni muhimu.... na mfano..
MUNGU AKUONGOZE... ALLIKIBA...
Comments
Post a Comment