LINNAH & WEMA BIFU ZITO..TEAM WEMA WACHARUKA
Msanii wakike mkali wa sauti zao na tunda la THT LINAH SANGA.. mkali wa OLE THEMBA amejikuta katika wakati mgumu baada ya mashabiki wa msanii beutifuly ONYINYE aka... madam.. WEMA ISAK SEPETU wanaotambulika kama TEAM WEMA.. Waliporomosha matusi kedekede kumshambulia LINAH kwa kile kinachodaiwa kua chanzo ni madada hao masupastaa kuchukuliana mabwana.. hilo lilitokea baada ya mtangazaji maarufu..wa CLOUDS FM Anaejulikan kama DIVA akimwaga mchele huo.. katika kuku wachache... alinukuliwa na blog hiii akinadi moja kati ya vipindi vyake.... huku akiporomosha skendo ambayo iliwaumiza mashabiki wa WEMA... alisema hivi katika moja ya kurasa zake za mitandaoni.....zilizo pelekea TEAM WEMA kumshambulia LINAH hadi katika kurasa zake mitandaoni..
...
""ala za roho tonight na Diva saa 4 Mpaka saa 6 usiku utamsikia Beautiful linah Ndege Mnana Live akizungumzia Mshtuko aliopata baada ya kufahamu boyfriend wake anatoka na wema sepetu . Maumivu yote atayaweka hewani ... looking forward to get My girl Wema nae azungumze.. Linah anasema hajazaliwa na huyo mwanaume , kumbuka huyu handsome boy ndo aliekuwa Manager wa linah aliesababisha Linah aka shoot ole themba video South Africa .. Team ya Ala Za roho ina muda mwingi na Linah leo .. akizungumzia Mateso anayopata baada ya wema kuwa na jamaa yake ... na sio kama atazikwa nae ' linah kasema ..
mengine yote usiku leo hii ... Je kweli linah ana mimba? ya Huyo Jamaa?! Kwa uchungu wa Mapenzi Linah anasema Kweli Dunia Ni Kijiji. Na ameumia .. unataka sikia full story? full interview tune in cloudsfm leo usiku
.
..
..hata hivyo Maongezi ya LINAH yalionesha kua mpenzi wake huyo anaodai kachukuliwa na WEMA alikua tayari ameshaachana nae..kitambo... hivyo mashabiki wa wema waliona ni sawa na sio kumchafulia WEMA
Maneno Ya DIVA Ndio yaliomueka LINA katika wakati mgumu wa matusi yanayo endelea kutirirka hadi sasa...
Mpaka tunaingia mitamboni hatukupata kauli yeyote kutoka kwa WEMA
Comments
Post a Comment