NEY ANAUGONJWA

Msanii maarufu anaetamba na nyimbo ya MAPENZI na PESA kwa sasa anaetambulika kwa jina la NEY TRUE BOY... (NEY WA MITEGO) Ameacha mashabiki wanaofuatilia page zake katika mitandao baada ya kuandika kiutani kua ana ugonjwa wa kupenda....  alikaririwa akisema hivi..
": Mh nimeanza kua na wasiwasi, Cjui Nina kaugonjwa kakupenda?! Maana dah! Kuna binti ananivuluga mtima wangu..������ ila sasa ana mbwembwe uyo.. tunagombana kila saa, alafu tunaelewana baada ya dakika kadhaa,, Vipi nawewe unakaugonjwa kakupenda!?
#MapenziAuPesa
..
..
Maneno hayo yalikua yakiendana na mziki wake ambao.. anahisi na kunadi MAPENZI ni PESA...    Mziki huo ambao una bamba sana katika station mbalimbali za radio.. huku washabiki wakiisubiria video.. ya wimbo huo kwa hamu...
""Hongera NEY wa Mitego""

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA