NISHA AUKARIBISHA MWEZI MTUKUFU
Msanii Nyota katika nyanja ya Kiwanda cha Filum Bongo SALMA JABU NISHA ..hivi punde asema na Mashabiki zake wakati akitoa maneno ambayo ni ya ki imani zaidi yaliotafsirika kua.. alikua na lengo la kuwatakia heri wanaitikadi wote wa Kiislamu katika kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani.....
NISHA amewataka wale wote ambao aliwakosea kua wawe na moyo wa kusamehe kwani hakuna binadamu asie na mapungufu...
Jukumu la kuomba msamaha kwa Wote ambao watahisi uliwakosea bila ya wewe kutambua ni lazima....
""ni jambo muhimu sana kwani hata katika vitabu vya dini vimekua vikisisitiza msamaha.. kwa aliekukosea....na kupokea na kusamehe pia ...alisema maneno hayo katika moja ya kurasa zake mitandaoni...
Msanii SALMA JABU NISHA ..hivi majuzi alitoa filum yake ilioitwa MTAA KWA MTAA na mafunzo zaidi ambayo imefanya vizuri kabisa...katika mauzo...Ni zaidi ya burudani...
""TUNAWATAKIA HERI WAISLAM WOTE KATIKA KUUKARIBISHA MWEZI MTUKUFU....WA RAMADHANI""
Comments
Post a Comment