SHAMSA::NITAVAA NGUO FUPI MPAKA MWISHO WA DUNIA

""Msanii wa Maigizo BONGO MUVIE SHAMSA.. (Shamsa Ford)... anaewika katika nyanja hizo na msanii aliopamba vichwa vya magazeti baada ya kua karibu na msanii wa BONGO FLAVER  Ney wa Mitego... ukaribu ambao ulikua gumzo ila mwisho wa siku ulionekana ni ukaribu wa kikazi....
""SHAMSA amewapasha wale wanaomfuatilia na kumundama kumsema vibaya juu ya mavazi yake kua haya kidhi mwili wake na kuonekana kua ni mafupi na hayaendani na maadili ya Tanzania yetu... Msanii huyo amabe ni kioo cha jamii ameyatoa majibu hayo bila kuogopa litakalo tokea na kuwapa majibu wote ambao walikua wakijaji kuhusu viwalo vyake hivyo...
Aliandika barua ndefu uliowafikia akiwalenga.. alisema.... """

""Hi my people.kila mtu ana haki ya kuishi anavyotaka na kufanya kile anachotaka..nyie mnaopiga kelele eti navaa nguo fupi ni bora mtafute page ya mtu anayevaa madila mkoment na kulike..naishi navyotaka mimi na si mnavyotaka nyinyi.mwisho wa siku kila mtu atabeba msalaba wake.mnapoteza bando  zenu kukoment ujinga ambao hata hausaidii kwenye maisha yenu wala maisha yangu. Mngekuwa mnapiga kelele za kuleta idea za movie ningeona mna akili....Tupeane ushauri kwenye kazi tu but maisha yangu hayawahusu..napenda nguo fupi na sitoacha kuvaa nguo fupi.siku njema"""

Maneno hayo yalionekana yametoka moyoni kabisa mwa Msanii huyo na huku akihakikishia watu kua ataendelea kujivalia vinguo vifupi.. hadi mwisho.... sasa wale mnao mjaji kazi kwenu...

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA