UHALIFU NA GROUP WASSAP
Hii ni kwa ma admin wote....Wa ma GROUP wassap...
Tafadhali mwana group ambae hayupo active kwa muda na huna taarifa nae pleas.. mtoe mremove... kwa sababu zifuatazo..
@@Huenda .. member huyo amepoteza simu.... na ikaokotwa na mtu ambae anaweza kuchukua namba za MEMBERs wengine akafanya uhalifu.....
""Imetokea... Songea... bint mmoja aliibiwa simu... wale walioiiba wakaingia katika contact za wassap zake.. wakaingia katika group.. wakasomba namba na majina.... kisha akaanza kufanya uhalifu... 6 kati ya waliochukuliwa namb walifanyiwa uhalifu wa kudanganywa na kuibiwa pesa nyingi sana wengine wa 3 waliuliwa... chanzo kikajulikana ni simu ilioibiwa kwani walijikuta wanagroup wote wamepata majanga..
Kumbuka kua jina lako na namba na picha ndio vinavyoweza kukutia katika hatari hio...
MTOENI MEMBER AMBAE HAYUKO ACTIVE KWA MUDA HATA WA SIKU 12...
..uhuni ulivyoanza...
Mawasiliano ya mmoja waliodhulumiwa yalikua hivi....
""Halo SHANI.... vipi..
""Poa wewe nawe hiyo profile picha yako itoe weka ya mwanao..
""Wewe nani...?
Mwanagroup mwenzako.wa group la MTUACHE.....(anataja na jina la mmoja wa group member....au jina la yule alioibiwa simu...
Aka badilisha....""
(Akaweka ya mtoto wake..baada ya siku 2)
Aliitwa somewhere kwa maongezi akamkuta mtoto wake ametekwa na anahitajika kutoa kiasi cha pesa aachiliwe la sivyo wanamuua...kwakua aliitwa na alishuhudia vifo vya watoto wengine... akiwataka wakampeleke akatoe pesa alienda nao hadi ATM wakamsubiri akatoa mil 8... akawakabithi...aliporudi nyumbani akamkuta mwanae wamemuachia.....
Sweetstoryz14.blogspot.com
Wamedhibitisha hayo...
uchunguzi..umefanyika... unaombwa kuchunguza namba zote katika GROUP.wassap. epuka MAGROUP ya kila siku...yasio na maaana..
Comments
Post a Comment