UKWELI WA NIA YA MAJUTO

Msanii wa maigizo katika nyanja za kuchekesha  nguli KING MAJUTO.. hivi karibuni mashabiki wake walimuanika mitandaoni kua ametangaza nia ya kugombea... japo haikutambulika msanii huyo ametangaza nia ya uongozi gani ila  juhudi za kutafuta ukweli zilifanyika..
""Kutokana na KING MAJUTO kutokuongea mara kwa mara na vyombo vya habari na kumuachia fursa hio mwanae mpendwa ambae pia ni mkurugenzi wake.. Bw Hamza Awadhi..... alisema kua.. KING MAJUTO hajatangaza nia yeyote ila mashabiki wake ndio wamekua wakimshauri afanye hivyo hasa katika nyanja ya  uongozi wa UBUNGE jimbo la TANGA MJINI...
Akiongea kwa njia ya simu BW HAMZA amesema... swala hilo yeye kama mkurugenzi wa kazi za baba yake na msimamizi.mkuu wamepokea ushauri huo na wapo chini kuufanyia kazi...
""Hapo hapo alizungumzia kua KING MAJUTO anataraji.kutoa Filum mbili baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani... ambazo amewashirikisha wasanii wachanga na familia yake pia....
Huku akiwaambia mashabiki wasubiri Tamko rasmi kutoka.kwa KING MAJUTO...la nia yake

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA