UNAJUA ALICHOSEMA (MADAM)WEMA SEPETU JUU YA TUZO ZA KIBA......... click hapa
Huku kila msanii akitoa pongezi zake juu ya ushindi wa kishindo aliopata ALLIKIBA kwa mara ya kwanza baaada ya kunyakua tuzo..
6 ....za KTMA 2015.. Katika category 7 alizokua amewekwa...
Beutifuly onyinye.. (WEMA ABRAHAM SEPETU) alikua sambamba na msanii huyo toka katika mchakato wa kuomba kura...
WEMA alisema
..
Nilitaka zote saba ila hata 6 pia sio mbaya.... #KingKiba.... Umetisha.....
..
..
..
MANENO HAYO YALIWAUMA BAADHI YA MASHABIKI WALIOKUA WANAWASHABIKIA BAADHI YA WASANII AMBAO HAWAJABAHATIKA
Comments
Post a Comment