UNAJUA ALIVYOSEMA JOKATE(KIDOTI) KUHUSU TUZO ZA ALLYKIBA???? click hapa
Hongera Sana Cherie @officialalikiba Kwa Kujishindia Tuzo Sita Jana Usiku Kwenye Kiba Tanzania Music Awards (KTMA) sorry Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2015. Teh teh teh. Ni Kitu Cha Kumshukuru Mungu Ulikaa Kimya Miaka 3 Ila Ukarudi Na Wimbo Mmoja Ukatuteka Tena. Kusema Ukweli Tukiachilia Mbali Ushabiki 'Mwana' Ulituliza Akili Na Ukafanya Vizuri Sana Nchini. Mashabiki Wanakupenda. Sana. Mpole Hivi, Mcheshi, Mstaarabu. Na Unajua Mziki. Tunakuombea Sasa Hii Iwe Motisha Ya Wewe Kufika Mbali Zaidi. Ndio Kwanza Safari Imeanza. Uzuri Unaomba Mungu So Najua Hata Kutupa. Ila Kaza Mwana We Kazaaa!!! We Are Behind You!!! by
Jokate mwegelo
Comments
Post a Comment