UNATAKA KUJUA ALIKIBA ASEMA NINI BAADA YA KUPEWA TUZO ZAKE ZA KTMA2015...........click hapa

Msanii mshindi wa TUZO 6 katika vinyang'anyiro vi 7 alivyokua akishindanishwa msanii ALIKIBA..
Kwa mara ya kwanza
Ashukuru mashabiki zake...
Asema....
...
...

"Ningependa Kuchukua Nafasi Hii Kutoa Shukrani Zangu Kwanza, Kwa MUNGU Muumba Aliyenipa Kipaji Hiki, Pili Familia Yangu Kwa Kuniongoza Na Kunipa Moyo Wa Kufanya Kazi Zaidi, My Management, Asante Kwa Kuniongoza Vyema. Mashabiki Zangu Wa Dhati Asanteni Sana Kwa Kuthamini Kipaji Changu Na Kupenda Kazi Zangu! Nawapenda Na Kuwashukuru From The Bottom Of My Heart. MUNGU Awabariki Sana ...#KingKiba


HONGERENI MASHABIKI NA WATANZANIA KWA UJUMLA   KWA KUMPATIA TUZO KING WA BONGOFLAVER ...  ALLIKIBA....

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA