HATIMAE MPENZI WA NISHA AJULIKANA HUKO CHINA

SIKU CHACHE TU
Baada ya mwanadada Salma Jabu Nisha kwenda ughaibuni huku nyuma akiacha sintofahamu baada ya kudaiwa  Mwanadada huyo Amekwenda kwa mwanaume ambae huenda akawa na mahusiano ya Mapenzi na ikidhaniwa kua pengine Mwanaume huyo ndio aliompa mualiko huo...
""Magazeti ya udaku nchini yaliripoti udaku huo huku wapenzi wa NISHA wakiwa Vinywa wazi na Sintofahamu hiyo ya Mwanadada mkali wa vichekesho bongo  na kile kinachoendelea huko china..
HALI ILIVYO CHINA
Hali imekua ya kustaajabisha huko China baada ya mwanadada huyo kutamka hadharani kua  yale magazeti ya Udaku kile walicho ripoti  na  kuwafanya mashabiki wabaki njia panda.. kinahitajika ufafanuzi..na ukweli ndani yake.
MPENZI MPYA..
Huku mashabiki na walio na shauku wakitega masikio na macho kutaka kumuona mpenzi huyo wa NISHABEBEE imekua ni vichekesho na sintofahamu juu ya mpenzi huyo aliojitambulisha kua ndio mpenzi wa NISHA.. ila mpaka blog hii inaingia mtandaoni haikubaini kua mPenzi huyo ni raia wa Nchi gani au anajishuhulisha na nini huko china.. Tupo mbioni kubaini hilo..maana utaifa wake na muonekano wake umezua Tafrani.


Mpenzi mpya wa NISHA

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA