LINEX ATAFUTA MCHUMBA FURSA KWA MA SINGLE DADA
Sunday Mjeda aka LINEX anaejiita VOA (Voice Of Africa)....anaetamba kwa nyimbo ya SALIMA alioshirikiana na Baba Kijacho Aka mupenzi ya bosslady Zari.. shemeji ya wauganda wanaemuita CHIBU DANGOTE (Diamondplutnums)..
Hivi karibuni LINEX ametoa fursa mwanana baada ya kutamka hadharani... kua Anamtafuta mupenzi ya kumvisha pete..
..
Huku idadi ya namba ya wasanii wanaotamka wazi wazi kua wanahitaji wapenzi ikiongezeka baada ya mwanadada Mfupa Bila kiuno... kiuno bila mfupa wa zamani.. Ray C.. hivi juzi kati na yeye alitoa dukuduku la kutafuta Bwana kwa kila hali na akatoa sheria zake atakae zimudu basi angekua muke ya Rayc..
(Basi oaneni LINEX na Ray C)
Comments
Post a Comment