MAELFU WAMPONGEZA NISHA
Huku Msanii wa Bongo Muve Salma Jabu (Nisha) akiwa amepata shavu la aina yake baada ya kupata fursa ya kwenda ughaibuni... kwaa ajili ya sanaa yake.. ya kuigiza..
Maelfu ya Mashabiki wamempongeza kwa fursa hiyo kwani imekua safari ya ufunguo kufungua sanaa yake kua ya kimataifa... nakuitangaza nchi yetu ya Tanzania kwa hatua ya aina yake...
Mashabiki walitumia muda mwingi kumtakia mafanikio...hayo
Hivi karibuni NISHA alitoa sababu zilizomfanya kuvutiwa uzi huko ughaibuni na kupata mwaliko huo... ambao ni wa matumaini kwa mwana dada huyu wa pekee... ni baada ya lile tukio la kuigiza na kutuma picha katika mitandao kama ametuna katika nguo yake na kumfanya akaonekana kama ana muonekano wa kiume...(ni ile picha ambayo walimuunganisha na OMMY DIMPOZ na MARTIN KADINDA) (katika hali ya sanaa yake)
""Picha ile ilisambaa ulimwengu mzima... na kuvuka mipaka hadi nchi ya Italy... na barani Asia...
"Bw..Alesandro muuza Duka la bidhaa za manyumbani raia wa Napoli Italy alishuhudia picha hii kwa mara ya kwanza alitamani kumuona msanii huyu ana kwa ana anavyo wakonga wapenzi wa vichekesho alivyotumia ujuzi wa kuwafanya watu wakaitizama picha kwa mara nyingi huku wakitabasamu... na nukuu alisema "mi piace questa photo voglio sapere come jokare su il televisione"lei unica".. "napenda kumuona msanii huyu anavyo wakilisha sanaa yake katika luninga.. natumi anafanya vizuri.... hayo yalikua maongezi ya mdau mmoja ambae alikua ni rafiki wa mgeni huyo raia wa Italy ambae alitembelea Tanzania... na kutoa sifa zake kemkem kwaSALMA JABU NISHA..
Salma Jabu NISHA ni msanii ambae kiukweli amekua akionyesha utofauti katika uigizaji wake na amekua ni tajiri wa uhusika.. anaweza kuigiza kila aina ya uigizaji....
Safari ya huko barani Asia.. mashabiki wanamuombea akutane na mchezaji muve maarufu nchini China anaefanya vizuri JACKIECHAN ....kwani JACKIE amekua akibadilika katika muve za ngumi na akiingiza na uchekeshaji pia..hivyo tunatumai uongozi wa safari yake utamkutanisha na nguli huyo wa zamani apate maujuzi na baraka...
MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI SAFARI YA NISHA
Comments
Post a Comment