MTV WAKIRI KUA MASHABIKI WA ALLIKIBA WAMPA TUZO DIAMOND
Wakati Tanzania ikizidi kung'ara katika nyanja ya mziki.... mkali wa Bongo Flaver NASIBU ABDUL maarufu kama DIAMONDPLUTNUMZ.. akisaidia hilo baada ya kunyakua Tuzo ya Mtumbuizaji bora katika Tuzo za MTV MAMA huko Sauth Africa .
Tuzo hizo zinazowashirikisha wasanii kedekede wa Africa
Katika mchakato wa kupendekeza majina Tanzania ilibahatika kutoa wasanii wawili waliokua katika kategory kadhaa.. akiwemo Vanesa Mdee (V Money) na Nasibu (Diamond).
Katika upigaji kura ulioelemea katika mitandao kulionekana kua na kampeni kubwa sana huku baadhi ya washabiki wa Tanzania wakijigawa katika makundi kutokana na ushabiki...uliowalenga Davido na Diamond.. huku Davido msanii wa Nigeria akijikusanyia wapiga kura wengi wa Tanzania waliokua hawapendi kile anachofanya Diamond (kwa hali ya ushabiki)
Mashabiki hao walioonesha kumuunga mkono Davido katika swala la kura na promo .. Team ambazo zinajulikana kama Team Kiba na Team Wema.. hii ilitokana na Wasanii hao kuonesha kuunga mkono katika kurasa zao za mitandao kilichopelekea washabiki kufuata nyayo....
TEAM DAI WACHARUKA
Baada ya mchakato wa ushawishi wa kura kua mgumu baada ya Team Wema na Team Kiba kuonesha hari ya kumpigia Debe Davido wa Nigeria....
Team Mondi aka Team Daimondpltnums walipatwa na shauku ya kuongeza hari ya upigaji kura kwa kasi ya ajabu...
TEAM KIBA WASAIDIA
Mashabiki wa KIBA kutokana na kuonesha kutokubaliana na Watanzania kumpigia debe Mtanzania mwenzao hali hiyo ilisaidia..
kulisaidia mashabiki wengi kupiga kura kwa Daimond kwa wingi hadi kumpelekea kuinyakua Tuzo moja ya BEST LIVE ACT...
MTV WAKIRI
Waandaaji wa Tuzo hizo walikiri hilo baada ya kura nyingi zilizomfanya Dai kuchukua Tuzo zilikua za Watanzania hivyo hali hiyo ilionesha kua Mashabiki wengi ndio walifanya ushindi huo kutokana na idadi ya kura inaonesha hata mashabiki waliokua wanaonesha hawako pamoja na Dai nao walimpa ushindi
NIGERIA WATISHA.
huko NIGERIA ni sherehe za hali ya juu baada ya wasanii wengi wanaotoka nchi hiyo kutoka kimasomaso katika kuipeperusha bendera ya Burudani nchini humo.. D'BANJI..YEMIALADE..PSQUARE DAVIDO wamenyakua tuzo katika kila moja ya kategory walizashindania...
Comments
Post a Comment