WACHINA WAKAMATWA WAKITENGENEZA MAJI YA KILIMANJARO FEKI
Huku tukijinadi kua tuna rundo la wawekezaji nchini ... huku tukishindwa kufuatilia uwekezaji wao ni wa aina gani...
Kumekua na viwanda bubu kila kona ya nchi yetu ambavyo vinaendesha shughuli zao kinyemela nyemela...
Matukio ya uwekezaji feki ambao unakadiriwa ni moja kati ya ufisadi wa nchi.... je kosa ni la nani la Waziri wa Viwanda na makazi au.?....(jibu unalo)
Nani ambae anapitisha miradi na uwekezaji wote wa wageni wote hapa nchini..?
Kiwanda vha BBL kilichopo..... SHIRIMATUNDA Mkoani KILIMANJARO ambacho kinamilikiwa na kampuni ya IPP ambayo inamilikia na mh REGNALD MENGI.. ambacho kinajihusisha kutengeneza bidhaa na kuzalisha vinywaji vya cocacola pamoja na uzalishaji maji safi ya KILIMANJARO ambayo yananywewa nchi nzima hadi visiwani Zanzibar pamoja na nchi jirani.. huku kiwanda hichi kikijitahidi kwa kazi hiyo nzuri.. kumbe kuna ubadhilifu wajanja wanaita kusaidiana...
Raia wenye asili ya CHINA wakamatwa wakizalisha takribani tani kadhaa za maji ya KILIMANJARO... jijini Daresalam ..
Je walianza lini na tumeshayatumia muda gani ??..na je yamedhibitishwa..?.ni swali tete huku jibu lake likiwa halina muamala mzuri wa Afya zetu...
Wananchi tunabaki Tukimuomba Mungu juu ha Afya zetu..
Comments
Post a Comment