AFE KIPA AFE BEKI COLABO YA ALLI KIBA NA NE-YO YANUKIA

Hayawi hayawi sasa yanakua.. ni katika mastaa wawili kukutana na kufanya mambo makubwa katika mitumbuizo ya  coke studio..
NI msanii ALLI KIBA wa Tanzania na msanii NE-YO wa majuu.. wasanii hao siku za karibuni watakutana katika jukwaa moja na kutumbuiza pamoja..

AFE KIPA AFE BEKI COLABO LAZIMA
Ujue kama inavyojulikana wasnii wanaokutana jukwaa moja basi lazima kitaundwa kitu cha pamoja na hapa inadhihirisha lazima kutakua na mchanganyiko wa sauti kwa wasanii hawa wawili.. na hapo ndipo itakapoundwa colabo...

TEAM KIBA MENO NJE
ni furaha ya aina yake kwa mashabiki wa KIBA baada ya msanii Kiba Kupata fursa ya mara ya pili tena kukutana na msanii mkubwa kama NE-YO na hii itakua ni bahati nyingine tena kwa msani KIBA baada ya ile ya kwanza kukutana na R.KELY
na kufanya ngoma ambayo ilimueka Kiba pengine....

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA