BADA YA KUNUSURIKA KUOZEA JELA HUKO CHINA NISHA AJA NA JIPYA
Msanii wa BONGO MUVIE (NISHA)
Ambae ni miezi kadhaa sasa yupo nchini CHINA kwa shuhuli za kisanaa.. a hivi majuzi aliingi katika skendo na tetesi za mihadarati ambayo inasemekana kidogo anuse jela ila taarifa hiyo haikua na ukweli wowote. ..wakati Huku mashabiki wengi wakimsubiri kwa hamu nchini.. msanii huyo azua balaa jipya..
Kama inavyokua kawaida kwa binadamu yeyote anapokua anakwenda nchi za watu basi ni lazima abebe na utamaduni wake ili aweze kuishi sawa bila kuhisi tofauti
Hivyo ndivyo ilivyokua kwa mwana dada NISHA.. katika restaurant moja Maarufu nchini humo baada ya kupata mwaliko mkubwa...
AIBU DEBE 10
Aina ya ulaji wa jamii ya watu wa CHINA ni tofauti kwani wamekua wakila vyakulat ofauti na vya ki Africa hali iliopelekea mwanadada NISHA kuukumbuka u BONGOLAND wake.. Alionekana mara Kwa mara akiagiza vijiko hali ambayo kila mtu alimshangaa ila yeye hakua na muda wa kujali ila kuutunza Uafrika wake.
Comments
Post a Comment