DAVIDO AMBURUZA DAIMOND... MASHABIKI WA TANZANIA WACHANGIA

Msanii wa NIGERIA mkali wa style ya SKELEU  msanii ambae mara nyingi ameingizwa katika ushindani na Msanii wa mziki wa BONGO FLAVER nchini DAIMONDPLUTNUM..kutokana na aina yao ya mziki wanaoufanya... wengi wao wakisema unaendana na utumbuizaji wao unalandana mbali na kushirikiana baina ya wasanii hao...
Wamekua wakikutana na katika vinyang'anyiro kadhaa  vya tuzo Afrika....

DAVIDO ZAIDI
huku mashabiki hao wa mziki wakiwa wengi sana hasa katika mitandao ya kijamii ikiwemo Tweetter na instagram pamoja na facebook....
DAVIDO amezidi kujizolea mashabiki  lukuki kuliko Daimond... Davido amekua kinara kwa kutimiza mashabiki Millioni 1 kwa wanaomfuatilia katika moja ya page yake katika mtandao wa kutumiana picha wa instagram.. huku akimzidi DAIMOND ambae ana mashabiki Laki 9 wanaomfuatilia..
Takwimu hiyo inaonesha kua DAVIDO amejinyakulia mashabiki wengi nchini Tanzania kukiko Nigeria kwakua matumizi ya mitandao.katika nchi hizi mbili ni tofauti huku Tanzania ikiwa inaongoza kwa matumizi kuliko Nchi yeyote ya Africa...

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA