LINEX AMRUSHIA MADONGO IZO BIZNESS... AMPA ONYO KALI

Linex Mjeda aka LINEX .. mkali wa sauti za mchanganyiko wa lafudhi za ki magharibi... Ameingia katika Tifu zito na Msanii IZO mzee wa BIZNESS (BISHOO) .. anae tamba kwa ngoma kadhaa na mashairi ya kusifika...

Kichwa hicho kutoka Mbea kimekua kikisumbua sana katika Uwanja wa mziki Mgumu maarufu HIP HOP ya BONGO.....

Msanii pekee aliowahi kumtaja mtoto wa Raisi na kumuambia aufikishe ujumbe kwa Muheshimiwa nyimbo iliotambulika kwa jina la Ridhiwani ni nyimbo ambayo ilimueka IZZO katika dira ya biashara ya mziki aufanyao
..
..
MADONGO YA LINEX
Kukaa kimya kwa IZZO kumezua kishindo kikubwa sana kwani anatarajia kuingia katika chart na ngoma yake ambayo inazungumziwa na watu wengi ngoma ambayo haijatoka bado inayotambulika kwa jina la SHEMEJI LAKE ngoma ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni...
Kwa hali ya utani LINEX alimtania IZZO na kumtaarifu kua anataka kujua maana ya hiyo nyimbo anaogopa isije kua shemeji ki vingine akashindwa kumkaribisha nyumbani kwake...
Wasanii hao wamekua waki sapotiana sana hasa wanapokua na kazi mpya.. zote ilika ni mbwembwe za kutambulisha watu wakubali kitu kikali toka kwa IZZO hivi karibuni...

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA