SAA YA HAMIS KIIZA YAVUNJWA TAIFA
Hatimaye ile raha iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki weng nchini imetimia ambapo Mechi kati ya watani wa jadi simba vs yanga kuchezwa jana jion katika uwanja wa taifa ya timu ya yanga kuibuka na magoli mawili na point Tatu muhimu, katika mchezo ambao simba walianza kutawala iliwachukua dakika 44 yanga kujielewa na kuandika bao la kwanza lililofungwa na mchezaji wa zaman wa simba Amiss Tambwe na kushindiliwa goli la pili katika kipindi cha pili na Malimi Busungu na kuvunja ule mchezo uliokuwa ukioneshwa na Hamis kiiza katika michezo iliyopita ya kuonyesha kwamba muda wanao kwa ishara ya kushika mkono akionesha saa bado zipo kwani Jana alikuwa chini ya ulinzi mkali wa cannavaro na kelvin yondani kwa mantiki hiyo Yanga ya Dar es salaam imeendelea kushika usukani wa ligi hiyo ya Tanzania bara alimaarufu kama VPL.
Comments
Post a Comment