SIMON MSUVA HUYOOO SIMBA
Baada ya kuhujumiwa katika mechi kadhaa akiichezea yanga dhid ya simba hatimaye atolewa tena katika kipindi cha kwanza cha mchezo kati ya simba vs yanga hapo jana kati msuva ambaye siku zote amekuwa akiambiwa hachezi vizur kabisa pindi wanapokutana watani hao wa jadi na kudhaniwa kuwa yy anaipenda club ya simba bado hajatoa tamko lolote kuhusu tuhuma hiyo kumbuka msimu uliopita mashabiki wa klabu ya yanga walimzunguka wakitaka kumpiga kwa kile kilichodaiwa kuwa n kucheza vibaya dhid ya simba hivyo kuna uwezekano mchezaji huyo akawa pande hiyo ya rangi nyekundu na nyeupe msuva ambaye jana alilazimika kutolewa baada ya kuonyesha kiwango kibovu na nafas yake kuchukuliwa na Malim Busungu ambaye aliipatia Yanga bao la ushind hongera yanga kaza but simba
Comments
Post a Comment