WIZI MITANDAONI
Halo Watanzania...naitwa.. ni bloger Mmiliki wa @sweetstoryz14.blogspot.com mimi mchunguzi wa kujitegemea wa Muda mrefu... kuhusu matukio ya Uhalifu Mitandaoni.... Cybercrime Naelewa ni ngumu sana kufuatilia namna matukio yanavyofanyika ila serikali na chombo husika inapasa kiwe makini sana TCRA... UFUATAO NI USHUHUDA WA MATUKIO YA UJAMBAZI MITANDAONI AMBAO NIMEUCHUNGUZA NA KUPATA MATOKEO..... #Fuatilia na umtaarifu na mwenzako... 👇👇👇👇👇👇👇 Wamekaa matapeli chini na wakagundua njia madhubuti ya kufanya matukio ya uhalifu kwa njia ya ujambazi kwa asilimia 70 wameshawaibia Watanzania wengi sana.... 😫😫😫😫 NA HUU NDIO USHUHUDA 😫😫😫😫 namba nitakazo zitoa hapa ni za kweli na wahusika ndio wanazitumia ila majina ni feki endapo utawatafuta kw...