WIZI MITANDAONI
Halo Watanzania...naitwa.. ni bloger
Mmiliki wa @sweetstoryz14.blogspot.com
mimi mchunguzi wa kujitegemea wa Muda mrefu... kuhusu matukio ya Uhalifu Mitandaoni.... Cybercrime
Naelewa ni ngumu sana kufuatilia namna matukio yanavyofanyika ila serikali na chombo husika inapasa kiwe makini sana TCRA...
UFUATAO NI USHUHUDA WA MATUKIO YA UJAMBAZI MITANDAONI AMBAO NIMEUCHUNGUZA NA KUPATA MATOKEO.....
#Fuatilia na umtaarifu na mwenzako...
Wamekaa matapeli chini na wakagundua njia madhubuti ya kufanya matukio ya uhalifu kwa njia ya ujambazi kwa asilimia 70 wameshawaibia Watanzania wengi sana....
NA HUU NDIO USHUHUDA
namba nitakazo zitoa hapa ni za kweli na wahusika ndio wanazitumia ila majina ni feki endapo utawatafuta kwa namba hizo wasipo patikana basi huwa wanazitumia katika uhalifu na wanazifungia.....
))) unapigiwa simu na mtu ataejitambulisha jina na akakutaja jina lako kabisa na sehemu ulipo (mkoa) hii hutumia google map phone area app wanajua kua uko maeneo gani na ni huduma ambayo ni bure kwa mtumiaji yeyote wa simu.. kwa kukujua jina ni rahisi huangalia katika miamala ya Tigo pesa.. m pesa ..eartell money... ezy pesa nk.. akiliona jina lako ndio wanakuundia story... kwahiyo anakupigia kisha anajifanya anakujua na mliachana kitambo....
Atakuambia kua kuna kazi anataka akupe ambayo alipewa yeye ila yeye yupo mbali atampa mtu namb yako kisha yeye ndio atakutuma hiyo kazi...
⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡
ANAENDELEZA MISSION
Unapigiwa na namb nyingine ambayo yeye atajitambulisha kua kapewa namb na mtu wa kwanza aliokupigia kwa hiyo anataka akupe kazi ambayo faida utagawana nae...
Mf...
Mimi naitwa DIKSON nimepewa namb na rafiki yangu kaniambia kua wewe utanisaidia katika kazi yangu... mimi nimeagizwa na meneja flani ambae ni muhusika na kampeni ya Kilimo Kwanza kaniagiza ni nunue vifaa vya matrecta pisi 50 ila nitakupa namba ya mtu ambae ni muhusika... wa uuzaji ili unisaidie kuchukua hapo kwa mali kauli maana mimi nipo mbali... pisi moja ni sh 150000 ila ukipeleka kwa huyo mama muambie pisi moja ni sh 300000 (laki 4) atakupa kisha gawa nusu umpe mwenye vifaa itayobaki nitakutumia acc ya nnb uniingizie milioni 5 wewe chukua millioni 2.... tutakua tumemaliza.....
Anajidai kampa namb mama meneja... yule mama anakupigia.......
Anakuuliza bei ya pisi.. unamuambia... Anakuambia niletee leo leo...
UNAIBIWAJEEEEE...,,????????????????
Yule jamaa wa 2
Atakutumia namb za huko...kwa muuzaji kisha atakupa maelekezo kua ummpigie akuelekeze.... huyo muuzaji atakuelekeza uende sehemu... atakuambia hakikisha risiti inaandikwa laki tatu pisi moja ila uilipie sh laki 3..... kwanza kwa kufoji risiti.. yule muuzaji atasema... umtumie...ili aandike risiti ili vifaa vije..... hapo ulipo.... wakikuona zoba... wanakurubuni utume pesa ya vifaa ili ukipeleka vifaa uchukue pesa yako....
IFUATAYO NI AUDIO AMBAYO ni tukio ambalo nimelichunguza na walinipigia simu mimi na kunasa sauti zao na namba.....
NDUGU TCRA
najua CYBERCRIME ni ngumu ku menag..
.....
....
zifuatazo ni namba za hao majambazi... plz fanyeni tracking mjue wanaishi wapi muwachukulie hatua...
Washawaibia watu sana.... nimetoa namba hizi hewani ili... watu wajihadhari nao ...
...
0719 196 583
0653 922 352
0675915919
0788 445 275
Kwa ushahidi kamili
By....
Sweetstoryz14.blogspot.com
Comments
Post a Comment