40 YA TIFFAH MADENI MATUPU YAACHWA...DAIMOND ACHOROPOKA.
ONA SASA Kuna madai kwamba, ile pati ya kutimiza siku 40 kwa mtoto wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’ iliisha huku nyuma ikiacha madeni ya kiasi cha shilingi MILLIONI na ushee ...
......
...
Ni siku ya 11 sasa, kampuni iliyopewa tenda ya kupamba kwenye shughuli hiyo iliyofanyika nyumbani kwa staa huyo, Tegeta-Madale, Dar ya Rachel Decorations imejipambanua kuwa, inamdai DAIMOND kiasi hicho cha fedha na hakuna Dalili ya kulipwa
MPEWA TENDA ANENA...ACHARUKA
Meneja wa kampuni hiyo ya mapambo aliyejitaja kwa jina moja la LUTENGANO , alisema wiki moja kabla ya sherehe hiyo iliyokuwa na shamra shamra, dada yake Diamond, Esma Platnumz alitafuta kampuni hiyo na muhusika...wa kupamba na kumwambia kuwa, kuna kisha wakaenda kwa baba Tiffa (CHIBU) kwa ajili ya makubaliano ya kifedha na baadaye wakaafikiana kwamba, afanye kazi kutokana na kiasi cha fedha alichoahidi...Maana BABA TIFA alitaka bajeyi kubwa tofauti na walioipanga ili papebdeze vizuri State House...
DIAMOND AJIFANYA FUNDI AINGILIA YASIO MUHUSU
“Ilikua ni Jumamosi usiku wapambaji walikwenda STATE HOUSE na vifaa kwa ajili ya kuanza kazi kwa kuwa shughuli ilitakiwa kufanyika asubuhi Ya jumapili lakini katika maandalizi ya kufunga (turubali), CHIBU aliingia na, akaanza kuelekeza anavyotaka kupambwe.
“Walimueleza kwamba haiwezekani kutokana na fedha ndogo waliyokuwa wametoa, akaahidi kwamba yuko tayari kuongeza Mshiko ilimradi mapambo ya kidhi matakwa yake na kusema kuwa ana watu wa muhimu watakaofika hapo hivyo panatakiwa pawe na hadhi zao.... Ikabidi tuanze kuchukua vipimo upya,” alisema meneja huyo.
...
...
Lutengano aliendelea kusema kuwa, ilibidi wakubaliane na Diamond upya, kwamba kama anataka kuongeza sehemu ya mapambo basi gharama ilibidi iongezeke, akakubaliana na vyote na kutoa fedha kiasi kwa ajili ya kukamilisha zoezi hilo huku akisema fedha iliyobaki angetoa siku ya sherehe huku akisema kuwa, mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ alipendelea zaidi makapeti na mito siyo viti kama ilivyokuwa mwanzo.
“Tukawa tumekubaliana aongeze shilingi milioni 1,600,000 kwa sababu kulikuwa na vitu ambavyo vilitakiwa kununuliwa, Diamond alitoa shilingi moilioni 1,300,000 na kubakisha shilingi laki 300,000 lakini pia kabla ya hapo alikuwa akidaiwa shilingi laki 625,000 kama fedha ya matenti 5 ambapo kila tenti liligharimu shilingi 125,000.
Maandalizi yakiwa yamepamba moto nyumbani kwa Diamond, Madale jijini Dar.
“Baada ya maturubai yote kufungwa, tukasitisha zoezi la mapambo kuendelea na mimi siku hiyo sikulala, nikaanza kushughulikia makapeti ambayo Diamond aliagiza mpaka nikaja kuyapata muda ulikuwa umeshakwenda na hilo tulishakubaliana kwamba kunaweza kutokea tukacheelewa kwa sababu ya muda kuwa mbaya akasema yeye anataka iwe hivyo alivyopanga.
Lutengano anasema baada ya kuzunguka sana Kariakoo, alifanikiwa kupata makapeti aliyoagizwa na kuyapakia kwenye gari la mizigo kisha kuagiza gari liende Madale huku yeye akiendelea kutafuta mito na maua.
“Kutokana na muda ulivyokuwa umekwenda gari lilifika Madale saa 3:00 asubuhi na wenyeji wakawa wamesusa kwamba vitu vimechelewa, vitu vikashushwa ikabidi tena mimi nianze kuwaelewesha kwa njia ya simu namna ambavyo tulikubaliana na Diamond mwenyewe na baadaye vitu vikaandaliwa na sherehe ikaanza.
“Kwa kuwa mimi nilikuwa nimechoka, ule muda ambao sasa mtoto ndiyo alikuwa anatolewa ndani, ikabidi niende kwenye gari langu nikapumzike ili nisubiri sherehe ikiisha...
DAIMOND ATOWEKA....AJIBU MBOVU
Baada ya sherehe kuisha Meneja huyo wa mapambo alimuibukia mama Dai ila bila mafanikio maana Dai alionekana kua buzy na majibub ya mama Dai hayakuridhisha... wakaondoka...
Siku iliofuata... Dai alitafutwa ila aliishia majibu mabovu kua Hapakurembwa vizuri....
TALE AKANA...
meneja alimtafuta Meneja wa Dai (babu Tale) na kumuuelezea ila alikua bize na bday ya mwanae ila pia alisema kua hakuna anachojua......
..
...
Mpaka Tunaingia mitamboni Dai hapokei simu.... mama Dai anasema hawadaiwi....
(C)
Chanzo Amani newz p.
Comments
Post a Comment