KUHUSU MIMBA YA MASOGANGE DAVIDO NUSRA ATOE MACHOZI

Siku kadhaa zilizopita, Mrembo Agness Masogange aliibuka sana katika taarifa kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya post yake kwenye Instagram kuzua mjadala mkubwa na kuibua uvumi mkubwa sana kati yake naDavido staa wa muziki kutoka Nigeria.

Masogange alipost kipimo cha ujauzito kwenye page yake ya Instagram, post iliyoibua mjadala mkubwa Nigeria na Tanzania na kuacha swali kubwa vichawani mwa watu,“Agness ana ujauzito wa Davido?!”

Agness Masogange.

Baada ya ukimya wa siku kadhaa, Davidoaliaua azungumze na kuweka mambo sawa ili kusitisha uvumi unaosambaa juu yake naAgness Masogange… kupitia page yake yaTwitterDavido alipost tweets kadhaa huku akidai tetesi hizo zimemuumiza zaidi baada ya mrembo Masogange kumuendea hewani staa huyo kwa uchungu na kudai uhusiano wake na mpenzi wake upo matatani kutokana na uvumi huo.

Davido.

Haya ndio majibu ya Davido kuhusu uvumi waAgness Masogange kubeba ujauzito wake..

>>> “TBH sijali Blogs zinaandika nini Ukweli au Uongo lakini pale ambapo mtu ananipigia kutoka nchini nyingine analia… ” <<< @iam_Davido.

>>> “Kuhusu mchumba wake kuona taarifa za uongo na anakaribia kuondoka na kumuacha…” <<< @iam_Davido.

>>> “na machungu!! Haya ni maisha ya watu ambayo nyie watu mnayachezea, mpaka kitu cha ajabu kitokee ndipo watu watakapojiona wajinga…” <<< @iam_Davido.

>>> “Tafadhali acheni, hii sio haki kwa Agness na boyfriend wake, waache waishi na kupata mtoto wao kwa amani… Smh” <<< @iam_Davido.

>>> “Nimetajwa kama miongoni mwa watu wenye ushawishi mkubwa kwa waka 2015 na FORBES AFRICA kwanini msiisambaze hii” <<< @iam_Davido.

>>> “Lakini taarifa yoyote mbaya mtakayoharakisha kuiandika! Msinichukulie vibaya, kama ni taarifa za ukweli basi hakuna ubaya wowote… ” <<< @iam_Davido.

>>> “Lakini kwanini msambaze uongo!!! Tunaishi kwenye dunia iliyovurugwa!! Hii social media tunaitumia kwa level nyingine” <<< @iam_Davido.

>>> “Siku moja mtakuja kuandika ujinga kuhsu mtu ambaye haiwezi hii presha na mtaona kitakachotokea!!!” <<< @iam_Davido





Chanzo @MILLARD AYO .

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA