MASANJA :HALIMA MDEE MH...

Mbunge wa JIMBO la KAWE
 kupitia UDCM MH HALIMA MDEE hivi majuzi alikutana na mchekeshaji na Askofu MASANJA MKANDAMIZAJI katika harakati za kisiasa.....
MASANJA MKANDAMIZAJI maarufu kama Askofu na mwanasiasa alioonyesha nia hasa alipoingia katika kinyang'anyiro cha ubunge kupitia CCM katika jimbo la Ludewa Mkoa wa Njombe baada ya uchaguzi kuairishwa ni baada ya kifo cha Mh Deo Haule Filikunjombe
Ambae akiaga dunia akiwa katika harakati za uchaguzi ,
Hata hivyo MASANJA alikatwa katika nafasi hiyo baada ya kutokupata kura za kutosha kutoka kwa wajumbe wa CCM katika uteuzi wa jina la mgombea Ubunge kupitia CCM.MASANJA akiwa na MH HALIMA MDEE (MB)




MASANJA alipobahatika kukutana Muheshimiwa huyo kama kawaida alianza kumtania alisikika akisema
"Du muheshimiea kumbe ni laini hivi sauti yako na mwili wako ni tofauti kabisa nilifikiri utakua kama dume kumbe...
Aliendelea kuntania MH.MDEE na waliishia kwa kupiga picha za ukumbusho ambazo MASANJA alizutupia katika kurasa zake mitandaoni huku akizidisha utani huo...

Serikali ya awamu ya Tano imekua ni serikali inayozungmziwa sana hasa katika utendaji, 
na kufanya viongozi kuonekana utendaji wao wa kazi upo juu kwa sasa.
Halima Ndee ni Mbunge ambae anajumuisha idadi ya wabunge wengi wa Chadema wachapakazi katika serikali ya raisi J.P Magufuli mwaka 2015-2020

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA