Posts

Showing posts from January, 2016

UJUMBE WA AT KWA KIBA HUU HAPA

Image
Mfalme wa miondoko ya mduara nchini AT, ambaye amewahi kutamba na nyimbo yake ya Bao la Kete na nyingine nyingi zilizo wakuna wadau wa muziki na kuamua kuongeza ushabiki mkubwa kwenye aina ya mziki huo. AT ameuamua kusema ukweli ambao alikuwa ameuhifadhi moyoni kwa muda mrefu juu ya mahusiano yake na msanii nyota kwa sasa nchini Tanzania, mwenye mashabiki wengi kutokana na tungo zake kuwagusa wengi ajulikanaye kama Alikiba hitmaker wa Nagharamia aliyofanya na Chrstian Bela. Kupitia ukurasa wake wa Instagram AT amemzungumzia Alikiba kama msanii mwenye kufanya jitihada katika kazi zake na mwenye kusaidia watu tofauti wa watu wanavyomdhania kuwa anaringa, jambo ambalo AT analipinga kwa asilimia mia moja kwa sababu kama angekuwa anaringa asingeweza kumsaidia yeye, kipindi hicho hana kitu.   MY DEAR BROTHER IMEKUA DESTURI YA WATU KUTOKUMBUKA FADHILA HII NI YANGU BINAFSI WALA HAHUSIANI NA USHABIKI USIOJENGA ACHA NIKUTUMIE BARUA YA WAZI KWAKO MWAKA 2006 MWISHONI NILIBAHATIKA ULI...

WAJUE WAZAZI WA MASUPERSTAA

Image
*Je WAJUA??; HAWA NDIO WAZAZI WA HAWA MASTAA ..... Akon Alicia Ashanti Beyonce Justin Bieber Bow Wow Casie Breezy'  Diddy Drake  Jammie Foxx na mama Jay Z na Mama Justin Timberlake na  mama Kerry Hilson na mama  Mariah Carey na mama Nelly na mama Nick Canon na mama Nicki Minaj na mama Rihanna na Mama Usher na mama Swiz Beats na mama Wiz Khalifa na mama Jaden, Willow na mama

JIKE DUME HILI HAPA

Image
GENERAL NEWS Hekaheka ya ubabe wa mwanamke aliyekosesha amani mtaa mzima Kawe Dar.. Hii ishu ilisikika kwenye  Hekaheka  siku chache zilizopita, kesi yote ilikuwa suala la mwanamke mmoja maeneo ya Kawe Dar kuwa na tabia ya kupiga watu na wengine kuwajeruhi. Majirani na watu wa mtaani wameonekana kumchoka sana, wakaifikisha ishu yote kwenye meza ya akina  Geah Habib  kwa ajili ya kuruka nayo kwenye  Hekaheka  ya show ya ‘ Leo Tena ‘. Kutokana na utata wa mwanamke huyo matukio ya kupiga watu, mara kafunga njia, kesi yake imefika Polisi mpaka Mahakamanina kafungwa kwa siku 14 alafu atarudishwa tena Mahakamani… majirani na watu wa mtaa wake wameonekana kushukuru kitendo cha Polisi kuingilia kati, mtaa umekuwa na amani kwa sasa baada ya mwanamke huyo kukamatwa. Stori za majirani kwenye Hekaheka mitaa ya Kawe iko hapa mtu wangu kama  Hekaheka imesikika mbali na wewe leo. by millardAyo

ANATAFUTWA

Image
anaitwa SULE.. maarufu ANATAFUTWA kwa Wizi wa UTAPELI vifaa vya shooting kama CAMERA kubwa LAPTOP SIMU ..pesa nk..thamani mill 9 ALIKUA ANAFANYA KAZI... GMCL FM mbea (UYOLE).... alihamia Dar hivi juzi juzi... hutumia kutapeli watu kwa kutumia njia  ya udanganyifu akisema anafanya kazi katika kituo cha CLOUDS.... anatumia picha alizopiga akiwa NA SUDYBROUN Kuwarubuni wasanii wachanga.... RB yake IPO hewani kwa yeyote atakae fanikisha kukamatwa ZAWADI NONO ITATOLEWA... 0656278685